Header Ads

Breaking News

#BREAKING#Mo Dewji ATEKWA:WATUHUMIWA KUSAKWA

TAARIFA ZA KUTEKWA KWA MO DEWJI MMILIKI WA CLUB YA SIMBA  NA MFANYA BISHARA KUPATIKANA AKIWA HAI ZIMEPATIKANA HIVI LEO MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AMETHIBITISHA KUTOKEA KWA TUKIO HILO LA KUTEKWA KWA MFANYA BIASHARA MKUBWA NCHINI TANZANIA NA KUFIKA ENEO LA TUKIO MAENEO YA COLOSSEAM GYM.TAARIFA ZINASEMA WATUHUMIWA WA TUKIO HILO LA KUTEKWA WA MO DEWJI WATAKAMATWA NA WATATIWA MBARONI#TUTAENDELEA KUWAJUZA ZAIDI,USISAHAU KUTEMBELEA KILA MARA KATIKA WEBSITE *YETU KWA HABARI MOTOMOTO ZIADI
Loading...
worker