Header Ads

Breaking News

HABARI:TAHADHARI MBINU MPYA YA MAAMBUKIZI KWA WATU WOTE KWA JUMULA USIPUUZIE

Tadhahari Kwa Watanzania na Watu Wote Kwa Ujumula Kumekuwa na baadhi ya watu wakipita a mtaani au Maeneo Mbali mbali wakida wametumwa kupima Damu Bure."UKIJIWA NA WATU KAMA HAO AU KUWAONA TAFADHALI PIGA SIMU KITUO Cu wHA USALAMA WA POLISI CHOCHOTE KILICHOKARIBU NA WEWE" Pia tusikubali kutekeleza matakwa yoyote ya kijamii kwa mtu yeyote Mpaka tusithibitishiwe na Viongozi walopewa Dhamana katika maeneeo yetu.Ikiwa Viongozi hawana taarifa wafikishie taarifa kuhusu jamb husika ili wahojiwe zaidi na kuchukuliwa hatu ikiwa wapo kinyume na utaratibu.Hii ni mbinu Mpya ya mauaji kwa njia ya kuwadunga watu sindano zenye maambukizi ya V.V.U.Virusi Vya Ukimwi Tafadhali Shea kwa wengine Tuokoe Watengi  kakita hili.TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA


worker